Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati akitoa ripoti ya faida na mapato katika utendaji kazi wa benki hiyo kwa mwaka 2012 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi Ally Laay na Mchambuzi Masuala ya Fedha, Mohammed Warsame.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB Bi.Tully Mwambapa aliwakaribisha wageni waalikwa katika hafla ya kutangaza ripoti ya matokeo ya kifedha ya mwaka 2012 ya Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari kwa kufurahi na wajumbe wa Bodi ya Benki hiyo Bi.Joyce Nyanza(Kushoto) na Bwana Ally Laay(Kulia).Wengine ni mchambuzi wa masuala ya Fedha Dkt.Mohamed Warsame (Kulia) na Mkurugenzi wa Ujasiriamali watu Bi.Dorah Ngaliga(Kushoto).
Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakifuatilia jambo.