Rais
wa chama cha walimu Tanzania( CWT)Bw. Grtian Mukoba (kushoto).akiongea na
waandishi wa habari leo makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam.wakati
akitoa wito kwa serikali kukubali kwa nia njema kukaa meza moja ya majadiliano
na CWT kwa ajili ya mishahara ya walimu (kushoto kwake)
kaimu katibu mkuu chama cha walimu Tanzania(CWT) Bw;Ezekiel
Olouch
Baadhi
ya waandishi wa habari walioudhuria kwenye mkutano huo wakimsikiliza kwa umakini
Rais wa chama cha walimu Tanzania( CWT)Bw. Grtian Mukoba wakati akitoa wito kwa
serikali
Mwalimu. Grtian Mukoba
akifafanua jambo mara baada ya kumailizika kwa mkutano huo
leo


Post a Comment