Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa China aneyeishi
Zanzibar,Bibi Chen Qiman,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi Mdogo wa China aneyeishi
Zanzibar,Bibi Chen Qiman,(kushoto) mara baada ya mazungumzo yao
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.


Post a Comment