Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA USTAWI WA JAMII


IMG_9933
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, katika
utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9935
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa
Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, (hawapo pichani)
katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano
Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9939
Baadhi ya watendaji na Maofisa katika Wizara ya
Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto, wakiwa
katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za
Wizara hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top