………………………………………………….
OFISI ya Mkemia mkuu wa Serikali hapa nchini imeweka mikakati
mbalimbali ya kuboresha huduma zake huku lengo halisi likiwa ni
kupunguza gharama kwa watanzania hivyo kuweza kuruhusu idadi kubwa ya
watanzania kuweza kutumia huduma hizo.

Hayo yamebainishwa Jijini haoa na Mkemia mkuu wa Serikali hapa
nchini,Profesa Samweli Manyele wakati akiongea na wadau ambao ni
watumiaji wa huduma za wakala wa maabara ya mkemia wa Serikali

Profesa Samweli alisema kuwa kuboresha ofisi hiyo kutaweza kuruhusu
idadi kubwa ya watanzania kutumia huduma hizo lakini pia kutaepusha
gharama ambazo hazina ulazima kutumika kwenye upimaji wa vina saba vya
binadamu(DNA)

Alifafanua kuwa endapo kama mikakati hiyo itakamilika kwa haraka basi
itaweza kuimarisha huduma hizo za maabara za vina saba vya binadamu
lakini pia gharama ambazo zinatumiwa na Serikali,Taasisi,pamoja na
Asasi mbalimbali nazo zitapungua kwa kiwango kikubwa sana.

“kwa sasa zipo gharama ambazo zinatumika kupitia mikakati yetu ambayo
tumeweka tutahakikisha kuwa gharama ambazo si za lazima zitaweza
kuondoka na hivyo tutaweza kuruhusu kwa kiango kikubwa watu kunufaika
na huduma za DNA”alisema profesa Manyele.

Mbali na hayo alisema kuwa kwa sasa wanatarajia kumalizia ujenzi wa
maabara kubwa ya mkoa wa Arusha ambayo itaweza kuhudumia Mikoa ambayo
inapakanayo huku pia Maabara hiyo ikitumika kuraisisha shuguli ambazo
zinafanywa na ofisi hiyo jijini Dar es saalam.

Awali Katibu tawala mkoa wa Arusha Evelyne Itanisya alisema kuwa
inashangaza sana kuwa ujenzi wa maabara ya Mkemia mkuu Mkoa wa Arusha
bado haijakamilika ingawaje mpaka sasa ujenzi bado unaendelea.

Itanisya aliitaka Ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali kuhakikisha kuwa
inamaliza kwa haraka sana ujenzi wa maabara hiyo ili iweze kutumika
kwa ajili mkoa wa Arusha kwani Mkoa wa Arusha una mambo mengi sana
hivyo huduma za maabara ya vina saba ni muhimu sana kwa maendeleo

Post a Comment