"Nawaonya
wanasiasa kuepuka kusema lolote kuhusu suala la kuvamiwa Kwa mama yetu. Familia
haijamtuma Mtu yeyote kuwa msemaji wa familia kuhusu suala la usalama wa mama
yetu. Tunalaani kitendo chochote kuhusu Maisha ya mama yetu kuingiliwa na
wanasiasa. Hatutavumilia Kwa namna yeyote ile kuingiliwa katika jambo hili.
Suala hili lipo polisi na tuache polisi wafanye
uchunguzi.
on Saturday, April 27, 2013
Post a Comment