 |
| Kujitayarisha kwenda kwenye Uwanja Mkutano wa Hadhara
Tanga Mjini, From left:- Mjumbe wa NEC Mkinga, Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa
Tanga, Mjumbe wa Baraza la Utekelezaji wa WAZAZI/CCM Taifa Mh. Omar Kimbau,
Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa Mh. Bulembo, Mwenyekiti wa Wazazi Singida, Le
Mutuz, Mjumbe wa UVCCM Taifa, Mwenyekiti wa WAZAZI Temeke na Katibu wa Wazazi
Singida. |
 |
| Mjumbe wa Baraza la Wazazi Omar Kimbau, Mwenyekiti wa
Wazazi Taifa Mh. Bulembo, Le Mutuz + Ummy Mjumbe wa Vijana
Taifa. |
 |
| Mkutanoni Tanga Mjini
leo. |
 |
| Wananchi
waliohudhuria. |
 |
| Katibu wa Chadema aliyerudi CCM leo akisema kuhusu
kilichomrudisha CCM. |
 |
| Wananchi waliouhudhuria Mkutano wa
leo. |
 |
| Le Mutuz moving the crowd!! always lazima nifungue njia
ya Mwenyekiti. |
 |
| Katibu wa Mkuu wa Wazazi Taifa Mzee
Dadi. |
 |
| Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa Mh.
Bulembo. |
 |
| Mwenyekiti wa Wazazi Chake Chake Pemba akitoa darasa
kuhusu CUF na Seif. |
 |
| Wananchi wakitoa kero zao, ni lazima kuwasikiliza kila
tunapokwenda na kuwajibu inavyotakiwa, yasiyojibika hupelekwa mbele kwa
wahusika. |
 |
| Zamu ya Mwenyekiti kuwajibu wananchi maswali
yao. |
 |
| Wananchi waliohudhuria wakimsikiliza Mwenyekiti My
Boss. |
 |
| Baada ya kumaliza
Mkutano. |
 |
Mwenyekiti getting a hand from Mjumbe wa Baraza la
Taifa la Utkelezaji Wazazi Mh. Omar Kimbau.
Credits: Le Mutuz Blog |
on Saturday, April 6, 2013
Post a Comment