Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LOWASSA ATIKISA IRINGA ...... AKABIDHIWA TUZO YA HESHIMA



Kaimu Meya wa manispaa ya Iringa Vitus Mushi (kushoto) akisalimiana na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa baada ya kutua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Teresia Mahongo akimpokea Lowassa
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa mwanahabari Tumain Msowoya akisalimiana na LOwassa
 

kada wa CCM Bw Lazaro akisalimiana na Lowassa

Mfanyakazi wa radio Overscomers Fm Adela kivamba akisalimia na Lowassa
Mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini Mendrady Kigola akijitambulisha mbele ya Lowassa
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa neno mbele ya Lowassa kwa kuwataka viongozi wa serikali kujisahihisha kuwa mambo yanavyokwenda sivyo yanavyotakiwa kwenda
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola pacha wa Filikunjombe akinena jambo
Askofu wa OPC Iringa Dkt Boaz Sollo akimkabidhi tuzo ya heshima waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa leo katika ukumbi wa St Dominic

Credits: Francis Godwin
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top