Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye
ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi.
Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee
tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatasaidia kumponya...Tutawaletea Habari zaidi
Baada ya Kupata Mkasa Mzima..Stay
tuned.
Post a Comment