
Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa maabara wa kituo cha afya cha
Mlandizi ,wilayani Kibaha katika mkoa wa Pwani, Bwana Sostenes Nyang’olo, jinsi
ya kuchukua vipimo vya damu na makohozi kutoka kwa wagonjwa wakati wa uzinduzi
wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi tarehe
22.4.2013.

Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akizungumza na akinamama na akina baba waliowaleta watoto wao kwa ajili
ya chanjo wakati wa uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko
Mlandizi, wilayani Kibaha tarehe 22.4.2013.

Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akizungumza na akinamama na akina baba waliowaleta watoto wao kwa ajili
ya chanjo wakati wa uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko
Mlandizi, wilayani Kibaha tarehe 22.4.2013.
walioweza kuwaleta watoto wadogo kwenye chanjo
wakiambatana na wake zao.

Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akipata akimpa mtoto dawa katika kituo cha afya cha Mlandizi ,wilayani
Kibaha katika mkoa wa Pwani,wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo kitaifa
iliyofanyika huko Mlandizi tarehe 22.4.2013.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mheshimiwa Dr. Seif Rashid wakishiriki kuimba
na kikundi cha kwaya cha Anglican Compassion kutoka Bagamoyo wakati wa uzinduzi
rasmi wa chanjo kitaifa ulifanyika katika kijiji cha Mlandizi tarehe
22.4.2013.


Post a Comment