Mtoto Abdallah
anasumbuliwa na tatizo la MOYO, Moyo wake ni Mkubwa, Kwa sasa Amelazwa Katika
Wodi ya Watoto Katika Hospitali ya Mnazi mmoja, ambapo anaendelea kupata
Matibabu lakini LENGO ni kusafirishwa Nje yaNchi. Pia Anasumbuliwa na Maradhi ya
Tumbo Kujaa Maji ambapo analazimika Kutolewa Maji Kila Baada ya Siku
3.
Kwa Yoyote Anayeweza Kutoa
Kiasi chochote Cha Msaada Unaweza Kutumia Namba hii 0774 64 87 80 kuwasiliana
Mama Mzazi wa Abdallah.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
VOA Express2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
1 comments:
Kwa kweli inashangaza huyu mtoto anaonyesha alikua anaumwa siku nyingi hivi hizi nafasi zinatokea za kusaidia watoto kupata matibabu India bure hajaombewa.Mimi nimewakuta India wagonjwa wengine wana magonjwa ya kawaida wamelekwa na serikali, jaribu kuomba msaada serikalini inshallah huenda ukasaidiwa badala ya kukaa hospital ukingoja utumiwe pesa kidogo kidogo na watu utachukua mrefu na ugonjwa hautowasubiri.
ReplyPost a Comment