Mashabiki wa timu ya Magazeti Tando, Bloger Fc, wakimbeba beki wa timu hiyo Sufianimafoto, wakishangilia naye baada ya kuwafungia penati muhimu ya mwisho iliyowapa ushindi dhidi ya timu ya DSJ, ambapo Bloger Fc ilishinda kwa mikwaji 3-2 na kuwaondosha mashindanoni, wapinzani. Zaidi Bofya HAPA chini
Kipa wa Bloger Fc, Othman Michuzi, akibebwa juu na Father Kidevu baada ya kuokoa penati wakati wa hatua ya matuta na kuifanya timu yake kuibuka na ushindi.
Mfungaji wa
BTL, Queens, Sharifa Mustafa akimiliki mpira wakati wa mchezo wao dhidi ya Free
Media Queens. Katikati ni Vai Chandy. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wachezaji
wa timu ya Bloggers FC wakiingia uwanjani kupambana na Jambo Leo
Wachezaji
wa Free Media wakibadilishana mawazo.
Mshambuliaji
wa Bloggers FC, Saleh Ally akichuana na beki wa Radio Maria, Frednando
Mussa.
Mshambuliaji
wa timu ya Bloggers FC, Majuto Omari akiwatoka mabeki wa Radio
Maria.
Extra Bongo
ikinogesha tamasha hilo.
Sharifa
Mustapha wa BTL Queens akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Free Media Queens
Andrew.
Beki wa
Bloggers FC, Muhidini Sufian akiwa amebebwa juju juu na wachezaji wa wenzake
baada ya kuitandika DSJ 3-2
Kocha wa
timu ya Bloggers FC Ankal akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Nyota wa
mchezo kati ya Bloggers FC na DSJ, Othman Michuzi akishangilia ushindi wa timu
yake baada ya kuichapa DSJ 3-2
Wanenguaji
wa Extra Bongo wakionesha manjonjo yao.
Kikosi
kamili cha Bloggers FC kikiwa katika picha ya pamoja.
Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo, wakishambulia wakati wakitoa shoo yao ya pamoja katika Bonanza hilo la waandishi, Medi Day.
Father Kidevu akipagawishwa na sebene la Extra Bongo na kuamua kuingia kati kuanza kuyarudi masebene na wanenguaji wa bendi hiyo.
Baadhi ya wasanii wa kundi la wachekeshaji la Comedi wakipozi kwa picha mbele ya kamera ya sufianimafoto.
Mzee Yusuph, akiimba mbele ya waandishi akiwapagawisha na kuwaacha hoi...
Mpiga picha maarufu wa Habari Maelezo Mwanakombo Jumaa (katikati) akipozi na wenzake na Mzee Yusuph kwa picha.
Mzee Yusuph akiimba jukwaani na kundi zima la Jahazi...
Somoe Ng'tu na Zena Chande (kulia) wakisebeneka na miondoko ya mzee Yusuph....
Mzee Yusuph akiimba na kucheza pamoja na wanahabari kati.....
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto, akizungumza wakati wa Bonanza hilo.
Credits: Habari Mseto Blog & Sufiani Mafoto
Post a Comment