Loading...
Home »
Unlabelled »
OPERESHENI YA KUFUKUA KIFUSI GHOROFA LILILOANGUKA YAMALIZIKA
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akihutubia
baada ya zoezi la kuondoa kifusi kumalizika.
Waandishi wa habari wakifuatilia hotuba ya Waziri
Nchimbi.
Makamanda wa vikosi mbalimbali wakisikiliza hotuba ya
waziri.
Baadhi ya askari wa JKT waliohusika katika zoezi la
uokoaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Sera), William Lukuvi, akitoka eneo
la tukio mara baada ya Dk. Nchimbi kuhutubia.
Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali,
Nyambacha (kulia) akitoka eneo la tukio na makamanda
wengine.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, DCP Suleiman
Kova, akitoka eneo la tukio, kushoto kwake ni mwandishi wa habari akimdodosa
jambo.
Shimo ambalo ghorofa lilijengwa, hapa ni baada ya kifusi chote
kuzolewa.
Baadhi ya waokoaji wa Kichina.
Makamanda wa JWTZ wakijadiliana mara baada ya kazi
kuisha.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, ACP Marieta Minagi
(kulia) akiwa eneo hilo.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiondoka eneo la
tukio.
ILE operesheni ya kufukua
kifusi cha ghorofa iliyoanguka jijini Dar es Salaam imehitimishwa leo na Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Jumla ya maiti 34 zimepatikana
na watu waliojeruhiwa na kuokolewa wakiwa hai ni
18.
on Monday, April 1, 2013
Post a Comment