Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DKT. KIKWETE AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA WAALIMU MBOGA SEKONDARI

 

8E9U7250Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo(Jumapili). 8E9U7357Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza  jambo Diwani wa Kata ya Msoga Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo. 8E9U7421Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mboga kata ya Msoga leo wakati Rais alipotembelea shule hiyo leo kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za waalimu shuleni hapo.(picha na Freddy Maro)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top