Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku Afisa
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes
na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakimpongeza kwa ishara hiyo ya uzinduzi wa mradi wa
ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya
ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka,
wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku
akishuhudiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw.
Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt
wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya
kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia
MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za
uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme
mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka,
wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Afisa Mtendaji
Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa
hotuba nzuri katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya
Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013
katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes
aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya
Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013
katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw.
Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali
katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya
kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia
MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw.
Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa
shirika la umeme Tanzania(TANESCO)katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa
ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya
ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka,
wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi
wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma
chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka,
wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.Picha na IKULU
Post a Comment