jeneza lenye mwili wa
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Mwambao (taarab) hapa nchini,Marehemu Fatma Bint
Baraka (Bi Kidude) likitolewa katika msikiti wa Mwembeshauri aliposaliwa mchana
wa leo,tayari kwa kwenda kwenye Mazishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania , Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Msanii
mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba
Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo katika
kaburi la Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika
makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif akiweka udongo katika kaburi la Msanii mkongwe
wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Said sadiq akiweka udongo katika kaburi la Msanii mkongwe wa Taarab
Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa
wa Kusini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akiweka udongo katika kaburi la Msanii mkongwe
wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya,Nasibu Abdul Juma (Diamond) akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika
makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja.

Nahili ndilo Kaburi ama nyumba ya Milele ya Bi. Kidude


Post a Comment