Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti kamanda wa kanda maalum ya polisi
Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova wakati alipoongea na makundi mbalimbali
pamoja na vikosi vya ulinzi na usalama vilivyoshiriki katika zoezi la uokozi
wakati wa ajali ambapo jengo la ghorofa liliporomoka , kuuwa na kujeruhi watu
kadhaa katikati ya Jiji la Dar es Salaam hivi karibun.Hafla hiyo fupi ilifanyika
katika ukumbi wa Sabasaba katik viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya Sabasaba
Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es
salaam Said Meck Sadick.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akioongea na makundi mbalimbali pamoja na vikosi vya ulinzi na usalama
vilivyoshiriki katika zoezi la uokozi wakati wa ajali ambapo jengo la ghorofa
liliporomoka , kuuwa na kujeruhi watu kadhaa katikati ya Jiji la Dar es Salaam
hivi karibun.Hafla hiyo fupi ilifanyika katika ukumbi wa Sabasaba katik viwanja
vya maonyesho ya kimataifa ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete

akisalimiana na kijana mlemavu Shabani Selemani Mohamed katika ukumbi Sabasaba
katuka viwanja vya maonesho ya Sabasaba barabara ya Kilwa ,wakati wa hafla
fupi ya kupongeza makundi mbalimbali yaliyoshiri katika kazi ya kuokoa watu na
kuopoa miili wakati wa ajali ya kuanguka kwa ghorofa katikati ya Jiji la Dar e
Salaam hivi karibuni.Amiri Jeshi Mkuu Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi
JWTZ walishiriki katika kazi ya kuokoa watu wakati wa ajali ya kupomoka kwa
jengo katikati ya jiji la Dar es Salaam hivi karibuni.
CHANZO
FULLSHANGWE
Post a Comment