Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA TANZANIA DKT. KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA UHOLANZI MARK RUTTE

 


8E9U5880Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi yake na kufanya naye mazungumzo jana Jijini The Hague.Rais Kikwete alikuwa katika ziara rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi kwa mwaliko wa Waziri mkuu wa Nchi hiyo. 8E9U5887 8E9U6048Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi jana.Kulia nia Waziri Mkuu wa Uholanzi Mh.Mark Rutte.Picha na Freddy Maro
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top