Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Shamsi Vuai Nahodha ahutubia Wanachama wa CCM Magomeni Mzalendo Zanzibar.

 

Mjumbe wa Kamati kuu CCM na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Shamsi Vuai Nahodha akiwahutubia wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Mzalendo Magomeni Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh akisalimiana na wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM na kueleza mambo mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo hilo katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Mzalendo Magomeni Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati kuu CCM na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Shamsi Vuai Nahodha akikabidhi kadi kwa wanachama wapya waliojiunga na chama cha Mapinduzi huko katika mkutano wa Hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Mzalendo Magomeni Mjini Zanzibar.
Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi hapo katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Mzalendo Magomeni Mjini Zanzibar.
Wananchi na wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM wakiwa wamehudhuria katika Mkutano wa hadhara wa chama hicho ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mjumbe wa Kamati kuu CCM na Muakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe aidha pia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Shamsi Vuai Nahodha hapo Magomeni katika kiwanja cha Mzalendo Zanzibar.(PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top