Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda akizungumza na ujumbe kutoka Shirikisho la Fasihi na Sanaa kutoka China ukiongozwa na Bi Yang Chengzhi wa kwanza kushoto waliokuja kutembelea kituo cha Tingatinga pamoja na Baraza la sanaa kama sehemu ya kujifunza utajiri wa sanaa wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Pro.Hermas Mwansoko.(Picha na Beatrice Mlyansi-MAELEZO) 

Wajumbe wa Shirikisho la Fasihi na Sanaa kutoka China ukiongozwa na Bi Yang Chengzhi wa kwanza kulia,wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda hayupo pichani akishukuru shirikisho hilo kuwapatia vifaa chuo cha sanaa Bagamoyo.(Picha na Beatrice Mlyansi-MAELEZO) 

Kiongozi wa ujumbe wa Shirikisho la Fasihi na Sanaa kutoka China Bi Yang Chengzhi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara yao nchini pamoja na kazi zinazofanywa na shirikisho hilo katika kukuza fasihi na sanaa nchini China na duniani.(Picha na Beatrice Mlyansi-MAELEZO)



Post a Comment