
Mh Jaji kiongozi
mahakama kuu Fakih Jundu akitoa salamu.

Mpiganaji wa Mjengwa
Blog na Kwanza Jamii, Lukelo Mkami Mwipopo ambaye ni mtoto wa mdogo wa Marehemu,
Marehemu Ben Mkami Mwipopo akisalimiana na watoto wa marehemu mara baada ya
mwili wa marehemu kuwasili kijijini Ibatu wilayani Mufindi tayari kwa
mazishi

Mjane wa marehemu Jaji
mstaafu akifarijiwa ndugu zake walipo wasili na mwili wa Marehemu Kijijini
Ibatu





Sehemu ya watu
walioshiriki ibada ya kumuombea marehemu

Post a Comment