
Polisi walilazimika kutumia nguvu za silaha kutawanya madereva hao wa bajaji waliokua wengi na wenye umoja.
Taarifa ambazo bado hazijadhibitishwa na Polisi lakini zimezungumzwa na mashuhuda wengi, zimesema Mwanajeshi huyo alipanda Bajaji ya Marehemu na kudai haoni simu yake kwenye bajaji hivyo alihitaji irudishwe lakini marehemu akasema hakuona simu yoyote kitendo ambacho inadaiwa kilimfanya Mwanajeshi huyo kuwachukua wanajeshi wenzake na kumpiga marehemu kwa kisa cha wizi mpaka kufariki.
Credits: Millard Ayo






Post a Comment