Diwani wa Shehia ya Magogoni Mohd Suleiman akisisitiza jambo katka mafunzo ya Ujasiria mali yaliofanyika katika skuli ya Msingi ya Magogoni Mjini Magharibi Zanzibar.
Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiria mali wakisikiliza hotuba ya Mkrugenzi wa Idara ya Kazi na Ajira,Ameir Ali Ameir hayupo pichani katika Ufunguzi wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika Skuli ya Msingi ya Magogoni mjini Magharibi Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.
Post a Comment