DADAZZZ WAKIPIGA KWITO MWANZO
MWISHO
AFISA UTAMADUNI MKOA WA TABORA,
BW. KATUNZI AKIZINDUA SHINDANO KWA KUKABIDHI FOMU KWA MOJA YA
WASHIRIKI
KUSHOTO: DIANA, ZENNA (MISS
SINGIDA 2012) NA KALUNDE
WAREMBO NDANI YA UKUMBI WA FRANKMAN PALACE HOTEL
AFISA UTAMADUNI MKOA WA TABORA
BW. KATUNZI KATIKA UZINDUZI WA SHINDANO LA MISS TABORA 2013, NDANI YA UKUMBI WA
FRANKMAN PALACE HOTEL.
MKALA AMBAYE NI M/KITI KAMATI
MAANDALIZI YA SHINDANO, AKIELEZEA UFAAFU NA TASWIRA YA MABADILIKO YA HALI YA JUU
YA SHINDANO LA MISS TABORA 2013
NASSOR WAZAMBI, MJUMBE WA KAMATI
YA MAANDALIZI YA MISS TABORA 2013 AKIKAZIA MIPANGO YA MABORESHO YA SHINDANO LA
UREMBO MKOANI TABORA
(PICHA NA: AloySonBlog)
== == ==
BW. KATUNZI ALIPONGEZA JITIHADA
ZILIZOFANYIKA KUHAKIKISHA MKOA SASA UNAJIKITA KATIKA FURSA NZURI ZA KUWAWEKA
SAWA VIJANA HAPO MKOANI NA ZAIDI KUNUFAISHA JAMII YA
WANATABORA.
AMETOA WITO KWA JAMII KULIPOKEA
SHINDANO HILO VYEMA NA KUTOA USHIRIKIANO WOWOTE UNAPOHITAJIKA, IKIWA YEYE
MWENYEWE AMESEMA ATAKUWA MSTARI WA MBELE KUHAKIKISHA SHINDANO LINAFANYIKA KWA
UFASAHA WA HALI YA JUU.
AKIONGEZEA, AMESEMA KUWA WAZAZI
WANATAKIWA KUWA NA MWITIKIO MZURI KWA WATOTO WAO WAKITAKA KUONESHA VIPAJI VYAO
KWENYE FURSA MBALIMBALI ZITAKAZO WANUFAISHA KIMAISHA WATOTO
WAO.
PONGEZI KUBWA ZILITOLEWA PIA KWA
WATU, MAKAMPUNI NA YEYOTE AFANIKISHIE KUTOA MCHANGO WAKE WA HALI NA MALI
KUFANIKISHA MASHINDANO HAYO KUFANYIKA.
Post a Comment