Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Wanafunzi wa shule za msingi jijini Dar wapewa Mafunzo ya Mchezo wa Rugby na Makocha waliobobea.

 

Kocha kutoka Afrika Kusini Ian Mcintosh akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S.
Kocha kutoka Marekani Jonathan Markowitz akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga picha Wetu).
Wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo ya Rugby kuendeleza mchezo huu Tanzania na lilohusishwa na Bhubesi Pride kutoka Uingereza, lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga Picha Wetu).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top