Mratibu wa Mkoa wa Shinyanga katika mchakato wa
upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Godfrey Kajia
akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya
Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es
Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
Mratibu wa Mkoa wa Ruvuma katika mchakato wa
upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Christina Kumwenda
akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya
Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es
Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
Mratibu wa Mkoa wa Pwani katika mchakato wa upatikanaji
wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Mohamed Magati akizungumza katika
kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko
ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo jumamosi
(April 27, 2013).
Waratibu wa mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa
Mabaraza ya Katiba ya Wilaya katika mikoa 30 ya Tanzania, wakiwa katika picha ya
pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na
Mkuu wa Kitengo cha Uratibu katika Tume, Joseph Ndunguru (wa pili kulia, mstari
wa mbele) mara baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika katika ofisi za
Tume Jijini Da re s Salaam leo (Jumamosi April 27, 2013).Picha na Tume ya
Katiba
Post a Comment