Waziri Mkuu akitia sahihi 
 kitabu cha maombolezo.
 Waziri Mkuu akipeana mkono 
na Askari wa Jeshi la Wananchi (jwtz) alipotembelea eneo la 
tukio. 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda 
alipowasili mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao 
wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha, 
maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili 
ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti 
meru.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoka eneo la 
tukio katika machimbo ya Moramu katika 
eneo la Moshono Mkoani Arusha,  maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha 
vifo vya watu 13 na majeruhi wawili.Picha 
na Chris 
Mfinanga


Post a Comment