Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa aina mbali mbali za
Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini na Mkuu wa Kitengo cha
Uzalishaji Passpoti na Ukaazi Haji Hamza Khamis wakati wa Ziara ya kutembelea
Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar [Picha na Ali
Meja]
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa Vibali
vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia Passpot na Ukaazi Haji Hamza
wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano ziliopo
Zanzibar
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiuliza jambo kwa Kamishna
wa Uhamiaji Zanzibar Mwinchumu Hassan Salum kwenye chumba cha Kutunzia
Kumbu kumbu za Nyaraka za Kuzaliwa wakati wa Kuomba passpoti
Nchini

Post a Comment