Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya KIlimo na Maliasili, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,
( kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo na Maliasili,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,chini mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa Kazi za kila Wizara. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment