Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa mgeni rasmi
wakati wa utoaji Tuzo za EJAT katika ukumbi wa Diamond Jubiilee. (Picha na
Habari Mseto Blog)
Wasanii wa
kikundi cha sanaa cha JKT kikitumbuiza kwa ngoma ya Msewe.
Katibu
Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga akizungumza katika
hafla hiyo.
Waziri wa
Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akizungumza katika hafla
hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif
Sharif Hamad akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa
washindi.
Brass Band
ya JKT iktoa burudani katika hafla hiyo.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga kutoka Kampuni ya Free Media, wachapishaji wa
Magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, kabla ya kukabidhiwa tuzo
yake.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF, William Erio
akimkabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga kutojka Kampuni ya Free
Media inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari. SDEnga amepata tuzo
hiyo baada picha aliyopiga ikimuonesha askarti Polisi akimsurubu Mwandishi wa
Habari, Marehemu Daudi Mwangosi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel
Ten.
Hongera,
ulistahili
Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi mfano wa hundi
mshindi wa jumla wa tuzo za EJAT 2012, Lucas Liganga.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif
Sharif Hamad akimkabidhi mfano wa hundi mwandishi mkongwe aliyepata
mafanikio.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga akiwa na tuzio yake.
Mwandishi
mkongwe Hamza Kasongo akiwa na mmoja wa majaji wa tuzo hizo, Mwanzo
Milinga
Picha ya
pamoja.
Picha ya
pamoja.
Mpiga Picha
Bora 2012, Joseph Senga (kulia) akiwa na mpiga picha wa magazeti ya Uhuru na
Mazalendo, Emmanuel Ndege ambaye aliingia katika fainali za kinyang'anyilo cha
kumtafuta mpiga picha bora.
Mwandishi
wa Habari wa Mwananchi Communications, Anthony Mayunga akipokea tuzo
yake.
Jaji
Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto,
Shadrack Sagati kutoka TSN.
Credits: Habari Mseto
Post a Comment