Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI YA COASTER NA LORI YAUA ABIRIA MMOJA AFARIKI DUNIA WENGINE 17 WAKIJERUHIWA WILAYA RUNGWE MKOANI MBEYA.

 

GARI YA AINA YA COSTA T 399 AUD ILIYOGONGWA KWA NYUMA NA KISHA KUPINDUKA ENEO LA KANYEGELE UWANJA WA NDEGE WILAYANI RUNGWE

HUU NI UPANDE WA NYUMA WA COSTA HIYO 

HILI NDILO ROLI LILILO IGONGA COSTA KWA NYUMBA NA KUSABABISHA AJALI HIYO NAMBARI YA ROLI T 712 CZC NA TELA LENYE NAMBALI T 444 CCZ LIKIWA NA SHEHENA YA MBOLEA
MOJA KATI YA MAJERUHI AKIWA KATIKA HOSPITALI YA TUKUYU.
BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI HUDUMA
BAADHI YA NDUGU WAKISUBIRIA KUWAONA NDUGU ZAO WALIOPATA AJALI
BAADHI YA WAGONJWA WAKISAFIRISHWA KWENDA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA.
KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA RUNGWE ILIPOTEMBELEA MAJERUHI WALIOPATA AJALI

                                                                       
                     Picha na  Ezekiel Kamanga 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top