Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik atembelea Chuo cha Ufundi Arusha

 

Balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik akivishwa ushanga wenye bendera
Balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik akipokea maelezo mafupi kwenye karakana ya useremala
Balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik akipokea maelezo mafupi kuhusu Maabara ya Upimaji Udogo.
Mkuu wa Idara ya Mitambo Chuo cha Ufundi Arusha, Eng. Jafari mwanza akitoa maelezo mafupi kuhusu aina mbalimbali za mitambo ya kufua umeme inayotengezwa chuo hapo kwa Balozi wa Norway Chin Bi. Ingunn Klepsvik.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika(kulia) akitoa maelezo mafupi kuhusu chuo cha Ufundi Arusha kwa balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik mara tu alipowasili Chuoni hapo.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika( wa tatu kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik (Wan ne kulia) mara baada ya kukitembelea chuo. Watano kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Tum.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top