Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWZZZ ..... KANISA LALIPULIWA MABOMU ARUSHA ,MWAKILISHI WA PAPA ANUSURIKA .... HALI NI TETE ARUSHA

Habari zilizopatikana hivi punde zinaeleza kuwa kanisa katoliki parokia ya Burka katika jimbo kuuu la Arusha limelipuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana wakati ibada ya misa ikiendelea.

Misa hiyo ilikuwa inaendeshwa na Balozi wa Papa nchini Tanzania .
Watu kadhaa wamejeruhiwa ibaya katika ibada hiyo.

Hakuna taarifa za kifo iliyothibitishwa na mamamlaka za za usalama bado.

Magari ya kupeleka wagonjwa yanaendelaea kupeleka majeruhi katika hospitali za Mkoa na binafsi.
 
Tutaendelea kuwahabarisha kile kinachotokea ..... Endelea kuwa nasi NDGSHILATU BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top