Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi.
Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.
Majambazi
yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer
yamevamia gari ndogo aina ya VITZ N a kuwajeruhi watu wawili wenye
asili ya asia na kupora kiasi cha fedha ambacho bado dhamani yake
haijafahamika mara moja.Tukio hili llimetokea Sayansi-Kijitonyama jijini
Dar es Salaam
Chanzo: Mdodosaji
Post a Comment