Baadhi ya wabunge wakiwa nje ya Ukumbi
wa Bunge mjini Dodoma baada ya Spika wa Bunge Anne Makinda, kuahirisha
Bunge kutokana na vurugu za gezi zinazoendelea mkoani Mwara,
Spika wa Bunge amelazimika kuahirisha
Shughuli za Bunge kufuatia vurugu zinazoendelea mkoani Mkoani Mtwara
kwa kilichoelezwa na vurugu za gesi
Mpaka anaahirisha Shughuli za Bunge
iwabunge walitakiwa kuendelea na Mjadala wa Hotuba ya Wizara ya Nishati
na Madini ya Makadiro, Mapato ya Matumizi kwa mwaka 2013/14
Post a Comment