Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akisaini kitabu
cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA. Aliyesimama ni
Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TANAPA Bi. Witness Shoo na kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi. 

Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya Hifadhi za Taifa (hawapo pichani) Arusha
alipowatembelea na kuzungumza nao juu ya changamoto ya kukabiliana na
vitendo vya ujangili nchini. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan
Kijazi.

Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizungumza na
wafanyakazi wa Makao Makuu ya Hifadhi za Taifa Arusha alipowatembelea na
kuzungumza nao juu ya changamoto ya kukabiliana na vitendo vya ujangili
nchini.




Sehemu ya wafanyakazi wa TANAPA
Mkurugenzi
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akimpa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii Bi. Maimuna Tarishi mfuko wenye bidhaa mbalimbali za TANAPA za
kutangaza vivutio vya utalii katika Hifadhi za Taifa mara baada ya
kumalizika kwa mkutano . 


Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mh. Maimuna Tarishi akiwa katika
picha ya pamoja na uongozi wa TANAPA na baadhi ya wafanyakazi.
Post a Comment