Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIJANA ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI KATIKA VURUGU ZA MTWARA, PAMOJA NA MADHARA NA HALI ILIVYO SASA HII HAPA




 RIP Kaka Karim(Picha Mpasta, JAMII FORUMS)
  • Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aapa kupambana na hao wanaofanya vurugu.
  • Nyumba ya Mtangazaji wa TBC yachomwa moto.
  • Ofisi ya Mbunge wa Mtwara/Mikindani imechomwa moto..
  • Nyumba ya Polisi imechomwa moto
  • Maaskari 10(awali walisema 4) wa kikosi cha JWTZ Nachingwea wamefariki dunia kwa ajali baada ya gari lao kupinduka maeneo ya Kilima hewa walikuwa wanakuja kuongeza nguvu Mtwara. Majeruhi wengi wao wamekatika viungo.
  • Nyumba za Hawa Ghasia zilizopo Indian quarterz(Sio India Quarters ni maeneo ya Kiyanga) zimechomwa moto
  • Gari la Zimamoto lapata ajali katika jitihada za kwenda kuzima moto
  • Huko MIKINDANI ofisi zote za serikali zavamiwa na kuchomwa na mpaka daraja la Mikindani nalo limevunjwa kwa maana hauwezi kutoka wala kuingia MTWARA 
  • Kuna madai kwamba silaha zimeibiwa (Haijathibitishwa) 
  • Maaskari wanafanya msako wa nyumba hadi nyumba maeneo ya Magomeni na Mangowela
  • Askari achomwa mshale. Haijulikani hali yake
  • Ni mapambano baina ya vijana na maaskari. Vijana hawaogopi tena risasi wala mabomu . Kundi limeelekea Shangani kwenye nyumba za vigogo.
  •  Nyumba ya kupumzikia wageni inayoitwa Shengena Lodge imechomwa moto kwa kile kinachoelezwa kwamba iliwapokea askari Polisi.
  • Ofisi ya CCM saba saba imechomwa moto, na baadhi ya waandishi wamezingirwa maeneo ya Sokoni, sasa ni milio ya risasi na mabomu.SOURCE  http://mtwarakumekucha.blogspot.com/
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top