

Watoa
mada katika kongamano hilo, kutoka kushoto ni Mtengaji Mkuu wa wakala
wa ununuzi na huduma serikalini Bw. Josephat Mwambega, Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi Bw. Clemence Tesha,
Eng. Ronald Lyatuu kutoka Idara ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Mkurugenzi wa
Usimamizi wa mali za Serikali Bw. Ezra Msanya.
Kutoka
kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya
Fedha Bi. Ingiahedi Mduma, Mhakikimali mkoa wa Morogoro Bw. Khamis
Simba, Meneja Mkoa Morogoro wakala wa Ununuzi na huduma Serikalini Bw.
Moses Kitangalala wakisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zinajibiwa.
Kamishna
wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma ambaye ndiye mwenyekiti wa
kongamano hilo Dkt. Frederick Mwakibinga akitoa maelekezo kwa wajumbe
waliohudhuria.





Afisa Ugavi kutoka Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Bw. Bulley Mwambete akiuliza swali kwa watoa mada.

Mkuu
wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais, Fedha, Uchumi na Mipango
ya maendeleo Zanzibar Bi. Fatma Jaha akiuliza swali kwa watoa mada.

Dkt. Mwakibinga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.

Naibu
Waziri wa Fedha Bi. Janeth Mbene ambaye ni mgeni rasmi katika ufunguzi
wa kongamano hilo akiwahutubia wagavi hawapo pichani.

Mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Bi. Janeth Mbene katika picha ya pamoja
na sekretarieti ya maandalizi ya kongamano hilo picha na Ingihedi Mduma
na Eva Valerian.
Post a Comment