Lori
la kampuni ya Mafuta ya Lake Oil likiwa limepata ajali maeneo ya Mlima
Nyoka-Mkoani Mbeya,Aidha katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha
isipokuwa baadhi ya watu kadhaa walijeruhiwa.
Baadhi
ya Wakazi kutoka maeneo mbalimbali ya Mlima Nyoka ikiwemo jirani na mji
maarufu wa kibiashara,Uyole jijini Mbeya wakiwa wamejumuika kwa pamoja
wakigombea mafuta yaliyokuwa yakimwagika,mara baada ya Lori la Lake Oil
kupata ajali.Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.
Post a Comment