Redds
Miss Dar Indian Ocean, Lucy Tomeka (katikati) akipunga mkono baada ya
kutangazwa mshindi katika shindano la kuwania taji hilo, lililofanyika
usiku wa kuamkia jana. Kulia ni mshindi wa pili, Sophia Yusuf, na
mshindi wa tatu, Linda Joseph, wakipozi kwa pamoja baada ya kutangazwa
washindi.
Warembo waliofanikiwa kutinga hatua ya tano bora, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi wa hatua hiyo.
Credits: Lukaza



Post a Comment