15Sunday, May 5, 2013

MAHAFALI YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TPSC YANAFANYIKA TABORA HIVI SASA ..... WAZIRI KOMBANI AWA MBOGO

  Mahafali ya 14 ya chuo cha utumishi wa umma TPSC yanafanyika mkoani Tabora.
 


Waziri Cerina Kombani awataka wahitimu wa Chuo cha utumishi wa Umma nchini kutotoa siri za Serikali kwani kufanya hivyo ni utovu wa nidhani kazini.
 

No comments:

Post a Comment