Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baba wa mtoto, Elizabeth Nora kutoka Dodoma
aliyelazwa katika Hospitali ya CCBRT, wakati Makamu alipofika
hospitalini hapo leo Mei 23, 2013 kwa ajili ya kushiriki katika
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Utokomezaji wa Ugonjwa wa Fistula. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Dokta wa Hospitali ya CCBRT,
wakati alipokuwa akitembelea katika wodi za wagonjwa waliolazwa katika
Hospitali hiyo, alipofika hospitalini hapo leo Mei 23, 2013 kwa
ajili ya kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya
Utokomezaji wa Ugonjwa wa Fistula. Kulia ni Mtoto Boniface Patrick
akiwa na
Baba yake, Patrick Luwao, Wakazi wa Dodoma, akiwa amelazwa baada ya
kufanyiwa upasuaji na kuongezewa sehemu ya mguu uliokuwa mfupi. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Stellah Nzyemba, ambaye awali alikuwa
mgonjwa na baada ya kutibiwa katika Hospitali hiyo ya CCBRT na kupona
ameajiriwa ili kuwasaidia wagonjwa wa Fistula. Makamu alifika
hospitalini hapo leo Mei 23, 2013 kwa ajili ya kushiriki katika
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Utokomezaji wa Ugonjwa wa Fistula. Makamu wa Rais Dkt Bilal, akimjulia hali mtoto mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali hiyo ya CCBRT. Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwasili katika eneo lililoandaliwa maalum kwa ajili ya kufanyia shughuli za maadhimisho hayo. Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose, akizungumza wakati wa maadhimisho hayo. Balozi
wa Ugonjwa wa Fistula, Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Mwana FA,
akisoma hotuba yake kuhusiana na kuzunguka katika baadhi ya mikoa na
kutoa ujumbe kwa wananchi na hasa kina mama kuhusu Ugonjwa huo.
Wasanii 21 walioungana na kuimba wimbo wa Kidole kimoja, wakitoa burudani jukwaa Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya
Utokomezaji wa Ugonjwa wa Fistula, yaliyofanyika leo Mei 23, 2013 Jijini
Dar es Salaam.

Dar es Salaam. Picha na OMR
Post a Comment