Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO


CIMG4479
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum –CCM lediana Mng’ong’o wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo.
CIMG4369
Mbunge wa Viti Maalum- CHADEMA Chiku Abwao akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
CIMG4535
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa (kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila – CHADEMA kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top