Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
VOA Express3 hours ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata Maelezo kuhusu mizinga ya nyuki
iliyofinyangwa kwa udongo kutoka kea Mkurugenzi wa Shirikala African
SoilHives Technology la mafinga Iringa, Donald Kalinga (kushoto) kwenye
makazi yake Mjini Dodoma May 14,2013. Wengine pichani kutoka kushoto ni
Farida Mgalama, Tekla Pila na Beather Mkono, wote ni wananchama wa
Shirika hilo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watalaamu
wa nyuki kutoka Kampuni ya National Beekeeping Supplies Limited ya
Dodoma, David Kamala (kushoto) na Abubakar Salum wakilina asali kwenye
shamba la ufugaji nyuki na kilimo la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo
Zuzu Mjini Dodoma, May 15, 2013 usiku. Mzinga mmoha ulitoa wastani wa
lita 10 za asali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma, May 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment