Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MHESHIMIWA MBUNGE MAKAMBA AFUNGUKA AKIWA AFRIKA KUSINI.

Leo nimetembelea Jela ya Robben Island, aliyofungwa Mzee Mandela kwa miaka 27. Pichani ni chumba kidogo (cell) akichokuwa anaishi. Picha nyingine ni Mzee aliyekuwa pia mfungwa kwa miaka mingi ambaye ndiye alinitembeza hapa na kunipa historia. Nimekuja huku kwa mafunzo ya ziada ya uongozi, chini ya taasisi ya African Leadership Institute chini ya mpango wake wa Archbishop Tutu African Leadership Fellowship. Natumia fursa hii kutafakari na kujitathmini na kujifunza kuhusu masuala ya Uongozi. Mifano ya viongozi kama Mandela na Nyerere ni muhimu katika zoezi hili. Kizazi chetu cha viongozi wa Africa lazima kionyeshe ujasiri wa vitendo na sio blah blah na kuuchukulia uongozi kama dhamana na kama wajibu na sio kama zawadi wala fursa ya kujitajirisha au kujitengenezea sifa, umaarufu na ufahari.
Leo nimetembelea Jela ya Robben Island, aliyofungwa Mzee Mandela kwa miaka 27. Pichani ni chumba kidogo (cell) akichokuwa anaishi. Picha nyingine ni Mzee aliyekuwa pia mfungwa kwa miaka mingi ambaye ndiye alinitembeza hapa na kunipa historia. Nimekuja huku kwa mafunzo ya ziada ya uongozi, chini ya taasisi ya African Leadership Institute chini ya mpango wake wa Archbishop Tutu African Leadership Fellowship. Natumia fursa hii kutafakari na kujitathmini na kujifunza kuhusu masuala ya Uongozi. Mifano ya viongozi kama Mandela na Nyerere ni muhimu katika zoezi hili. Kizazi chetu cha viongozi wa Africa lazima kionyeshe ujasiri wa vitendo na sio blah blah na kuuchukulia uongozi kama dhamana na kama wajibu na sio kama zawadi wala fursa ya kujitajirisha au kujitengenezea sifa, umaarufu na ufahari
Leo nimetembelea Jela ya Robben Island, aliyofungwa Mzee Mandela kwa miaka 27. Pichani ni chumba kidogo (cell) akichokuwa anaishi. Picha nyingine ni Mzee aliyekuwa pia mfungwa kwa miaka mingi ambaye ndiye alinitembeza hapa na kunipa historia. Nimekuja huku kwa mafunzo ya ziada ya uongozi, chini ya taasisi ya African Leadership Institute chini ya mpango wake wa Archbishop Tutu African Leadership Fellowship. Natumia fursa hii kutafakari na kujitathmini na kujifunza kuhusu masuala ya Uongozi. Mifano ya viongozi kama Mandela na Nyerere ni muhimu katika zoezi hili. Kizazi chetu cha viongozi wa Africa lazima kionyeshe ujasiri wa vitendo na sio blah blah na kuuchukulia uongozi kama dhamana na kama wajibu na sio kama zawadi wala fursa ya kujitajirisha au kujitengenezea sifa, umaarufu na ufahari.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top