Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini wakati wa kikao chake na
wabunge wa CCM, leo Mei 19, 2013, katika ukumbi wa jengo la White
House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Wengine kushoto ni Spika wa
Bunge Anna Makinda, Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama na
Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Kulia ni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Philip Mangula.
Wabunge
wa CCM wakiwa kwenye kikao chao na Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya
Kikwete leo kwenye ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM
mjini Dodoma.
Wajumbe
kwenye kikao cha Mwenyekiti wa CCM na Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa
CCM Rais Jakaya Kikwete wakibadilishana mawazo ukumbini. Walioketi
mbele, Kushoto ni Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakiah Meghji na Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa
na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migoiro na Mbunge wa Urambo na
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba akibadilishana mawazo na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Katibu wa NEC
Oganaizesheni Dk. Muhammed Seif Khatib kwenye kikao hicho. Picha na
Bashir Nkolomo
Post a Comment