Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akizindua rasmi Gazeti la Mfanyakazi wakati wa kilele cha Sherehe ya
Sikukuu ya Wafanyakazi,Mei mosi zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa michezo
wa Sokoine mkoani Mbeya.kushoto ni Kaimu Rais wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi Bi.Nortiburga Maskini na kulia ni Katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama
vya Wafanyakazi Ndugu Nicholaus Mgaya.(picha na Freddy
Maro).
Loading...
Post a Comment