Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI A BARAZA LA MAPINDUZI DKT. SHEIN AONDOKA NCHINI


IMG_1091
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_1092
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_1107
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_1118
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,akiagana na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_1119
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,akiagana na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top