Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC BENDERA APOKEA MAANDAMANO YA WAUGUZI MOROGORO

 


Wauguze  wa mkoa wa morogoro wakiwa kwenye maandamano na hapa wanaingia kwenye viwanja vya manispaa ya morogoro katika siku ya wauguzi.
MKUU wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera asubuhi ya leo amepokea maandamano ya wauguzi wa mkoa wa Morogoro ambao waliungana na waunguzi wote duniani kuadhimisha siku ya waunguzi inayoadhimishwa kila mwaka mei 12.
Lengo kuu la kuadhimisha siku hiyo ni kumuenzi muasisi wa wauguzi duniani ndugu Florance Nightingale ambapo kwa wauguzi wa Morogoro waliadhimisha siku hiyo kwa kuandamana na maandamano hayo kupokewa na mkuu wa mkoa wa Morogoro kwenye ukumbi wa Manispaa ya Morogoro.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera wa tatu kutoka kushoto akiwa na viongozi wa wauguzi wa mkoa wa morogoro na viongozi wandamizi wa mkoa huo wa idara ya afya.

Wauguzi wakiburudika wakati wa siku ya wauguzi.













Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top