Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC WA LINDI APOKEA KWA FURAHA TUZO ZA SAFARI LAGER MKOANI KWAKE

 


 Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mji ni Dk. Hamid Nassoro wakiwa ameshikilia tuzo ya Ubingwa wa Jumla ya Tuzo za Bia Bora Afrika ambayo Bia ya Safari Leger inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wengine katika picha ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Mwakilishi wa TBL mikoa ya Lindi na Mtwara, Bariki Massawe.
 Wakazi wa Mji wa Lindi wakiwa na furaha na tuzo za Bia ya Safari Lager wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Lindi.
Wakazi wa Mji wa Lindi wakiwa na furaha na tuzo za Bia ya Safari Lager wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Lindi. Picha na Mpiga Picha Wetu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top